Blog Post

RAIS DKT SAMIA ATANGAZA MIKAKATI YA MAMBO SITA

 Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza mkakati wa haraka wa mambo sita yenye lengo la kuirejesha Tanzania kwenye misingi yake ya amani, ukiwa ni muendelezo Katika hatua ya kwanza ya kusafisha kidonda cha machafuko ya Oktoba 2025, 

Rais ametangaza kuunda Tume ya Maridhiano itakayowashirikisha wadau wote muhimu nchini. falsafa yake ya 4R.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu