Na Omary Mbaraka
Leo hii waandishi wa Habari zaidi ya mia sita kutoka hapa nchini na nje ya nchi wamekutana jijini Arusha kuadhimisha siku ya uhuru wa habari (Freedom of Expression).
Katika hafla hio Waziri wa habari Mhe Paul Makonda amekubali kuwa ni kweli Kuna maeneo kadhaa wamekuwa na ukiritimba wa kutoa habari hivyo amewaagiza waandishi wa Habari kuwa endapo watakutana na ukiritimba huo basi apewe taarifa mara Moja
Isitoshe Mhe Makonda amesisitiza kuwa ni muhimu kuwawezesha wamiliki wa vyombo vya habari ili pia waandishi wa Habari wawezeshwe pia



0 Comments