Na Mwandishi wetu
Mkurugenzi wa idara ya mawasiliano ikulu ya ZANZIBAR,
Na msemaji mkuu wa serikali ya mapinduzi ya ZANZIBAR,
Hayati CHARLES HILARY amefariki dunia,
CHARLES HILARY amefariki dunia mapema alfajili hii ya leo MAY 11, 2025,
Baada ya kuugua ghafla na akiwa njiani kuelekea hospitali ya taifa MUHIMBILI tawi la MLOGANZILA,
Basi ndipo alipofariki dunia na hospitali alipofika,
Madaktari wakathibitisha kuwa tayari amefariki duniani,
Katika kazi ya utangazaji wake CHARLE HILARY,
Amewahi kufanya kazi kwenye vyombo vya mbalimbali vya habari,
Hapa nchini na nje ya nchi na kujipatia umaarufu mkubwa duniani,
Hasa kwenye kutangaza mpira wa miguu,
Vyombo hivyo vya habari alivyowahi kufanya navyo kazi ni,
Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) sasa TBC,
Radio One na ITV, Azam TV Media Limited,
Na shirika la utangazaji la UINGEREZA yaani (BBC).
0 Comments