Blog Post

RAIS SAMIA ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU YA HESHIMA KATIKA UONGOZI -MZUMBE

 Na Omary Mbaraka 

Leo hii katika mahafali ya 23 ya chuo kikuu Cha mzumbe  RAIS WA jamhuri ya muungano WA Tanzania  Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametunukiwa shahada ya uzamivu ya heshima katika uongozi 

Post a Comment

0 Comments

Close Menu