Blog Post

VYUO VIKUU VINGI NCHINI AMERIKA NA BARA ZIMA LA ULAYA VIMEFANYA MAANDAMANO MAKUBWA

Na Omar Mbaraka leo hii siku ya mei mosi vyuo vikuu (Universities) vingi nchini Amerika na Uingereza kikiwemo chuo kikuu cha Columbia (Columbia University) Havard University,Humboldt University cha Berlin ujerumani na Paris University vimefanya maandamano makubwa kuilaani vikali Israel kufanya mauaji makubwa ya wapalestina huko Gaza Maandamano hayo ya wanafunzi yanazidi kuungwa mkono na vyuo mbalimbali katika bara zima la ulaya Hata hivyo maandamano hayo yamesababisha maelfu ya wanafunzi kukamatwa na askari,Na katika mapambano hayo kati ya askari na wanavyuo inadaiwa kuwa kuna baadhi ya wanavyuo wamefarki kutokana na mapambano hayo makali Na pia waandishi wa habari ishirini na mbili wameuawa na wengine kukamatwa na majeshi ya Israel huko Gaza Nao wapalestina waishio Gaza na duniani kote wamefanya maandamano ya kuvipongeza vyuo hivyo kuonyesha shukurani huku wakionyesha mabango ya kuvishukuru vyuo hivyo kama vile "Thanks Colombia University " nk.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu