Blog Post

MBUNGE WA CHALINZE MHE RIDHWANI KIKWETE AJUMUIKA PAMOJA NA WANANCHI WA TARAFA YA MSATA NA KWARUHOMBO KATIKA FUTARI

Katika siku ya kwanza la kumi la mwisho wa mwezi wa Ramadhan wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata jana wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja. Futari hii iliyokutanisha Masheikh na waumini mbalimbali ilitumika pia kumuombea dua
Rais wa jamhuti ya muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan na kumrehemu pia mama mzazi wa Rais mstaafu Dk Jakaya Mrisho Kikwete Bibi Goya bint Jumbe aliefariki miaka 25 iliopita Mwisho Mhe Ridhwani Kikwetealiwashukuru sana wananchi hao.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu