Na Omary  Mbaraka 

Mazishi ya aliekuwa mchezaji maarufu wa mpira wa miguu aliewahi kuchezea klabu kubwa za hapa nchini marehemu Abbas Kuka yamefanyika jana  mchana katika makaburi ya mwinyimkuu magomeni Dar es salaam.

Katika mazishi hayo pia alihudhuria Rais mstaafu mhe  Dk Jakaya M Kikwete akiambatana na Naibu waziri wa Utumishi na Utawala bora  Mhe Ridhwani J Kikwete 

Marehemu  Abbas  Kuka alifariki akiwa katika harakati zake msikitini