Mhe Ridhwani Kikwete akiwa nyumbani kwa mmoja wa waasisi na mwalimu wa hayati Mwalimu Nyerere, Chief Mohamed Makongoro alipokuwa ziarani Wilaya ya Bunda
Katika msafara huo Mhe Kikwete alipata wasaa wa kumuombea dua muasisi huyo hayati Mohamed Makongoro
Mhe Kikwete alielezwa kuwa harakati za utungaji wa katiba ya chama cha TANU zilianza hapo kwa hayati chief Makongoro
0 Comments