Kiwanga, Chalinze
Ikiwa ni mwendelezo wa ziara za mhe Ridhiwani Kikwete jimboni kwake akiwa katika Kata ya Kiwangwa, amezindua miradi kuongea na wananchi katika vijiji vya Mwetemo,Bago, na kiwangwa, pamoja na kutembelea na kukagua maendeleo ya shule mpya ya sekondari iliyopewa jina la Ridhiwani Kikwete katika kijiji cha Kiwangwa aidha alipata wasaa wa
kutembelea na kuona ujenzi wa Zahanati-Bago, Bweni la wanafunzi wa kike shule ya sekondari Kiwangwa, shule ya sekondari Ridhiwani Kikwete na pia kuzindua zahanati ya kijiji cha
Mwetemo.
Ikiwa halmashauri ya Chalinze yenye vijiji 74 hadi sasa imeshajenga zahanati katika vijiji 66 na nyingine zikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi.
0 Comments