Arusha
Waziri Ofisi ya waziri mkuu kazi ajira na mahusiano Mhe Deus Sangu amewataka waajiri sekta binafsi kutekeleza agizo la serikali kuhusu kima cha chini cha mishahara la sivyo hatua Kali kuchukuliwa
Mbali na suala la mishahara, Waziri Sangu alizitaka taasisi zote ambazo bado hazijaunda mabaraza ya wafanyakazi kufanya hivyo haraka iwezekanavyo. Alieleza kuwa serikali imepokea malalamiko mengi yanayoonyesha kuwa baadhi ya waajiri hawatambui umuhimu wa vyama vya wafanyakazi na mabaraza yao katika maeneo ya kazi, jambo linaloathiri uhusiano mzuri kati ya wafanyakazi na waajiri.




0 Comments