Na Omary Mbaraka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwenye Mabanda mbalimbali ya maonyesho wakati wa Kongamano la Kitaifa la Mama na Baba Lishe Tanzania lililofanyika ukumbi wa Julius Nyerere Dar es salaam Leo Aprili 21, 2026.




0 Comments