Blog Post

UPASUAJI WA UBONGO KWA KUTUMIA AKILI UNDE WAFANYIKA TANZANIA


 Na Omary Mbaraka 

Tanzania Imeandika Historia Kwa Kuanza Kufanya Upasuaji Wa Ubongo Kwa Kutumia Akili Unde.

Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza rasmi upasuaji wa ubongo kwa kutumia teknolojia ya akili unde ‘Brain Lab- Neuro Navigation System’ ambayo husaidia wataalam kufanya upasuaji wa uvimbe kwenye ubongo kwa ufanisi mkubwa (high efficiency & accuracy) kupitia tundu dogo hivyo kupunguza muda wa upasuaji na wa mgonjwa kukaa wodini baada ya upasuaji huo.

MOI ndiyo hospitali ya kwanza Tanzania kufanya upasuaji wa ubongo kwa kutumia akili unde.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu