Na Omary Mbaraka
Waziri wa kazi ajira vijana na wenye ulemavu Mhe Ridhwani Jakaya Kikwete na Spika wa BUNGE la Jamhuri ya muungano wa Tanzania_Mhe Tulia Ackson walifanya ziara ya siku moja ya Mkoa wa Pwani ambapo walikagua shughuli za maendeleo mkoani hapo na Kiwanda cha Uhatilifu Kibaha na kuhutubia Wananchi wa Mkoa wa Pwani katika kusheherekea Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mheshimiwa Spika Dr. Tulia Ackson ameahidi kurudi tena Mkoa Pwani itakapopatikana nafasi.
0 Comments