Blog Post

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE YALIFANYIKA ARUSHA KITAIFA

 Na Omary Mbaraka 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali walihudhuria kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 08 Machi, 2025 na kufana sana








Post a Comment

0 Comments

Close Menu