Na Omary Mbaraka
Chombo hiki Cha habari kinaendelea na uchunguzi juu ya mfanyabiashara mmoja wa kuuza matofali eneo la kata ya mji mpya KInondo Mabwe Pande wilaya ya Kinondoni
Inadaiwa kuwa mfanyabiashara huyo kwa kushirikiana na kiongozi mmoja wa kata hio kwa kutumia mbinu chafu na za makusudi amekuwa akiuza kiwanja kimoja mara mbili na hivyo kuacha wateja hao kugombana vikali mpaka kufikishana katika vyombo vya kisheria
Chombo hiki Cha habari kitatoa habari hizi sahihi mara baada ya kumaliza uchunguzi kwani ni wazi mfanyabiashara huyo anaweza kusababisha uvunjifu wa amani katika kata hio
0 Comments