Blog Post

KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA BABA YA CDE CHAKOUH TINDWA MKURANGA

 Waziri wa kazi,ajira na wenye ulemavu Mhe Ridhwani J Kikwete tarehe 3 October 2024 amehudhuria mazishi ya Baba mzazi wa Cde. Chakouh Tindwa yaliyofanyika huko kijiji kwao Panzuo,Mkuranga na kuwafariji. Baada ya Mazishi Mhe Kikwete alirudi Nyumbani kupitia njia ya Msanga, Kisarawe. jambo ambalo alifurahishwa baada ya kuona hatua kubwa za maendeleo zilizopigwa pamoja na changamoto za barabara alizoziona. Maendeleo makubwa yamepigwa. 

Post a Comment

0 Comments

Close Menu