Blog Post

RAIS SAMIA AMKABIDHI MKE WA MAGUFULI NYUMBA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa funguo mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli ikiwa ni ishara ya kukabidhi nyumba mpya ya kuishi kwa familia ya Dkt. John Pombe Magufuli iliyopo wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam ambayo amejengewa na Serikali kwa mujibu wa sheria, Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na aliyekuwa mke wa Hayati John Magufuli wakati wa kukabishi nyumba.



 

Post a Comment

0 Comments

Close Menu