ĹHuyu mtoto kwenye picha ameokotwa Mitaa ya Bamaga leo 19.11.2023 anajitambulisha kama Abigael lakini hajui jina la mama wala baba wala sehemu anakoishi. Kwasasa yupo Parokiani Maximilian Kolbe Mwenge. Mwenye kumfahamu afike Parokiani mara moja. Naomba tusambaze ujumbe huu kwenye majukwaa mbalimbali ili mtoto huyu apate kukutanishwa na wazazi wake.
0 Comments