Na Mwandishi Wetu
Kurejea kwa Beki wa Manchester United Luke Shaw kutaleta matumaini? maswali yanayozunguka vichwa vya mashabiki wa soko Amerejea mazoezini baada ya miezi mitatu nje ya uwanja kutokana na jeraha la misuli.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza, 28, amecheza mechi mbili pekee msimu huu baada ya kupata jeraha mwishoni mwa Agosti.
Mlinzi mwenzake wa kushoto Tyrell Malacia pia amekuwa akisumbuliwa na tatizo la goti na bado hajashiriki kampeni hii.
0 Comments