Blog Post

TUTAFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO KWA MASLAHI YA VIJANA -LULANDALA







Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa (MNEC), Fakii Raphael Lulandala,  ameahidi ushirikiano na viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM ngazi zote nchini kwa Maslahi ya Vijana wote.

Komredi Lulandala ameyasema tarehe 20 Oktoba, 2023 alipokua akizungumza na Viongozi kutoka wa UVCCM kutoka Mikoa mbalimbali, na Watumishi Makao wa Makao makuu Upanga Dar es Salaam mara baada ya mapokezi yake.

"Tutafanya kazi ushirikiano na viongozi wa Jumuiya hii kubwa ngazi zote nchini kwa Maslahi ya Vijana wote nchini" Alisema Komredi Lulandala

#KulindaNaKujengaUjamaa
#SisiNaMamaMleziWaWana
#Kaziiendeleee

Imetolewa na 
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa

Post a Comment

0 Comments

Close Menu