Blog Post

MWINYI APANDISHA PENSHENI JAMII KWA WAZEE ZANZIBAR


Moja ya mafanikio yaliyofikiwa na Serikali ya awamu ya  nane inayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi katika kipindi cha Miaka Mitatu ni kuongeza kima cha Pensheni jamii kwa Wazee kutoka 20,000 hadi 50,000 sawa na 150%. 

Bi. Mwajuma Silima Khamis alisema tunamshukuru Dk.Mwinyi kwa kutuongezea fedha kutoka Elfu 20,000 hadi Elfu 50,000 ambapo fedha hizi zinatusaidia katika mahitaji yetu ya kila siku, tunamuomba Mwenyezi Mungu amzidishie imani kwa kututhamini sisi wazee. 

📍Mkaazi wa Koani, Unguja

Post a Comment

0 Comments

Close Menu