Na MWANDISHI WETU
Mwanamuziki anayekuja juu katika ulimwengu wa muziki hapa nchini, Salim Mbarak maarufu kwa jina Slim, ameibuka na kuachia ngoma mpya.
Msanii huyo ambaye amakuwa akifanya shughuli za muziki na kufanikiwa kumiliki studio yake mwenyewe ya muziki, amekuwa kwenye 'game' muda mrefu, lakini alikuwa hajaamua kuonesha kipaji chake 'serious'.
Akizungumza na blog hii Slim alisema sasa ameamua kuanza kuonesha cheche kwenye ulimwengu wa muziki kwa kuwa alikuwa hajaamua kufanya kweli.
Slim ni mwanamuziki mwenye kipaji cha muziki na amekuwa akifanya muziki kwa muda sasa ameamua kutoka na kibao hiki bofya linki hapo chini.
0 Comments