Blog Post

NCHI ZA AFRIKA ZINAZOZUNGUMZA KIFARANSA ZANYIMWA HAKI MTANDAONI

 Mashirika ya habari mawili la Afrika mashariki na Afrika kusini ICT na CIPESA, yanalaani vikali kuminywa kwa haki mtandaoni dhidi ya waandishi wa habari kama silaha yao za usalama

Ni kwamba karibu nchi zote za magharibi ya Afrika zinazozungumza kifaransa zinakabiliwa na uhuru katika uwanja wa mtandao  unaoheshimu haki za raia na kukidhi mahitaji yao

Baadhi ya nchi hizo ni Cameroon,  Chad Congo, Cotedvoire na Burundi

Post a Comment

0 Comments

Close Menu