Blog Post

Serikali imejidhatiti kutatua changamoto za ajira

Na Mwandishi Wetu

 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mh. Ridhiwani Kikwete ambaye ni mbunge wa jimbo la Chalinze lililoko Kibaha Mkoa wa Pwani, akijbu kwa makini swali pamoja na swali la nyongeza lililoulizwa na Mh. Jenny Jerry (Mb). wakati wa kikao cha bunge jijini Dodoma.

Mh. Mbunge Ngwasi Kamani alitaka kujua Serikali imejipangaje juu ya changamoto ya Ajira kwa vijana na utayari wa kukabiliana na Changamoto hiyo. Mh. Ridhiwan alisea kuwa serikali imejidhatiti katika kutatua changamoto za ajira kwa kiasi kikubwa.

 0753737777

Post a Comment

0 Comments

Close Menu