Na Mwandishi wetu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Angeline Lubala Mabula kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, hivyo kuchukua nafasi ya Beno Morris Malisa ambae uteuzi wake umetenguliwa. Na Dunford George Mpelumbe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, na Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo.





0 Comments