Na Mwandishi wetu
Mkuu wa Wilaya ya Rorya wa Mhe. Stanslaus Mabula baada ya kukabidhiwa rasmi ofisi na Dkt. Khalfany B. Haule ameanza Kazi kwa kutembelea hospitali ya Wilaya kujionea utoaji huduma.
DC Mabula akiwa hospitalini hapo ametoa siku saba kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya Rorya kuunganisha Umeme hospitali hiyo kitengo cha Maabara ya Vipimo na damu ili kazi iendelee masaa 24. Kadharika DC Mabula ameelekeza hospitali hiyo izingatie usafi wa mazingira.
*Rorya na Maendeleo*
*Tunasonga mbele kutumikia Wananchi*



0 Comments