Blog Post

WAKATI WA UTOTO WAKE WAZIRI KIKWETE ACHANGIA USAFIRI WA WANAFUNZI


Na Omary Mbaraka 

Katika gazeti la mfanyakazi enzi hizo inaonyesha waziri wa kazi ajira na vijana na wenye ulemavu ofisi ya waziri mkuu Mhe Ridhwani Jakaya Kikwete Mwaka 1992 akichangia fedha baada ya Umoja wa Vijana wa CCM walipoitisha Harambee kwa ajili ya Kuchangia Usafiri wa Wanafunzi Mkoa wa Dsm. Ni moja ya kumbukizi zuri inayo  leta matumaimi kuwa atatendea vema wizara aliopo sasa

Katika tamasha lilofanyika Kilimanjaro hotel mtoto (wakati huo) Ridhwani alikusanya fedha nyingi kuliko baba yake wakati huo akiwa waziri wa maji Mhe Jakaya Kikwete kwani Ridhwani alikusanya shs 200000 na baba yake alikusanya shs120000 na hivyo kumpita kwa T shs 80000.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu