Blog Post

UONGOZI CCM MKOA DAR ES SALAAM UMESHIRIKI MAPOKEZI YA MWENGE

 






Na Mwandishi wetu 

Leo mapema 1 Juni, 2025 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Abasi Mtemvu, Akiongozana na kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Dar es salaam kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2025 ukitokea Mkoa wa Pwani.

Katika tukio hilo, Mwenyekiti ameambatana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam  kuonesha mshikamano wa chama na kuunga mkono harakati za maendeleo zinazobebwa na Mwenge wa Uhuru.

Hili ni tukio la kizalendo linaloendeleza ari ya ushirikiano kati ya chama, serikali na wananchi kwa ujumla.



Post a Comment

0 Comments

Close Menu