Blog Post

KIKWETE AWASILISHA MUSWADA WA SHERIA ZA KAZI

 



Na Omary Mbaraka 

Waziri  wa Kazi, Ajira, na Wenye Ulemavu Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe Ridhwani Jakaya Kikwete, aliwasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kazi (The Labour Laws (Amendments) (No. 13) Bill, 2024)

Bungeni Dodoma tarehe 14 Januari, 2025. Mhe Kikwete alitumia kikao hicho kuwahabarisha wajumbe jitihada zinazofanya na serikali kutatua changamoto zinazowakabiri Watumishi Tanzania wakiwemo wale wanaojifungua watoto NJITI na changamoto za utatuzi wa migogoro ya ajira nchini.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu