Blog Post

MAWAZIRI WA AJIRA NA KAZI WA TANZANIA NA UAE WAKUTANA



Na Omary Mbaraka 

Waziri wa  kazi, vijana,ajira na wenye ulemavu ofisi ya waziri mkuu Mhe Ridhwani J Kikwete amekutana na Waziri anaeshughulikia masuala ya kazi na ajira WA UAE Mhe Balozi Dkt Abdul Rahman Abdulmannan Al Awar ambapo waliweka mikakati mizito ya ukuzaji kazi na Ajira kati ya nchi hizo mbili Tanzania na UAE

Mhe Kikwete yupo katika mikakati mikubwa kukuza ajira hapa nchini. Pia hapo awali watanzania wengi walikuwa wakienda katika nchi nyingi za kiarabu kutafuta ajira hivyo kwa mikakati huu WA Mhe Kikwete utasaidia kukuza ajira kwa mikataba ya kueleweka



Post a Comment

0 Comments

Close Menu