Na Omary Mbaraka
![]() |
*Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhi Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga baada ya kuibuka ushindi kwenye Mchezo wa kariakoo Derby.*
*Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wenu wa Ligi Kuu.*
*Nawatakia nyote kheri katika michezo yenu inayofuata, Endeleeni kutupa burudani huku Taifa likiendelea kuchapa kazi kwa amani, umoja, utulivu na mshikamano*
0 Comments