![]() |
Baadhi ya wafanyakazi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu iliyoambatana na Mhe. Ridhiwan kwenye vikao vya bunge leo |
Na Omar Mbarak
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Septemba 4, mwaka huu ameongoza timu ya wizara yake kwenye Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika kikao hicho Mhe. Ridhiwan amewasilisha taarifa ya mwenendo wa ulipaji wa mafao ya wastaafu bungeni Dodoma wakati wa kikao cha bunge hilo.
"Katika kikao hicho, tumewahakikishia kuwa changamoto zilizokuwa zinakabili mifuko yetu zimeendelea kutatuliwa huku wanachama wakiendelea kulipwa ndani ya muda wa Siku 60,"alisema Mhe. Ridhiwan.
0 Comments