"STRONGERTECH-PMC" Ni wauzaji wazoefu wa bidhaa mbalimbali kwa matumizi ya kibiashara na nyumbani
Kama unavyoona katika vipeperushi hapo juu wanauza bidhaa za kisasa kwa ajili ya shughuli za bucha,migahawa na bekari za mikate,ili biashara yako ionekane ya kisasa na ya kuvutia tumia vifaa hapo juu vikiwemo vifungashio vya plastic blenda imara kwa ajili ya kusaga nafaka na matunda pia mashine ndogo ndogo za kuhifadhi bidhaa mbali mbali zisiharibike kwa wafanyabiashara wadogo wadogo na wakubwa kama uanavyo hapo juu
"STRONGERTECH-PMC" wanapatikana mtaa wa pemba na livingstone kariakoo Dar es salaam kwa simu namba+255786933123 pia wanapatikana Mwanza Lwampisi house,Nyerere road plot namba 86 Kitalu S kwa simu namba+255629076155 au +255712776155
0 Comments