Blog Post

HOTELI YA KITALII INAYOVUTIA JIJINI MOROGORO

UTULIVU WA KIPEKEE NDANI YA HOTELI YA KITALII YA NASHERA MOROGORO


Ndani ya hoteli ya Nashera  Morogoro


Miongoni mwa hoteli tulivu yenye mandhari ya kuvutia ya kuanzia safari za kuelekea mbuga za wanyama za Mikumi, Hifadhi ya taifa ya Nyerere (Selous), Milima ya Udizungwa na Hifadhi ya Ruaha pia ni Hoteli kubwa kwa mikutano na mapumziko pia ipo katikati ya Mji Mkuu wa kiserikali Dodoma na jiji la kibiashara Dar es Salaam.

Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0716 678 233
Email: reservations@nasherahotels.com
Muonekano

Post a Comment

0 Comments

Close Menu