Blog Post

RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA ZAMBIA





Na OMAR MBARAK

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan akihutubia Bunge la Zambia  October 25, mwaka huu wakati akihitimisha ziara ya kitaifa ya siku tatu nchini humo.

Akihutubia Bunge hilo, Rais Samia ametoa wito kwa Wabunge kudumisha Umoja na Ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili ikiwa ni pamoja na kufuata misingi ya waasisi wa mataifa hayo iliyowekwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Dkt, Kenneth Kaunda.

Aidha Rais Samia amewaalika wawekezaji kutoka Zambia kuja kuwekeza Nchini Tanzania.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu