Tarehe 29 September 2023 siku ya ijumaa hoteli ya Cterra iliopo ufukweni Bwejuu Zanzbar imeandaa usiku wa kitamaduni ni usiku wa kujiliwaza ambapo kutakuwepo miziki mbali mbali ya kitamaduni na bidhaa mbalimbali za kitamaduni zitauzwa na wafanyabiashara mbalimbali
Nyote mnakaribishwa, kwa maelezo zaidi piga simu namba 0715016306
0 Comments