Na Omary Mbaraka
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Mgombea Urais akisalimiana na wanachama, wakereketwa na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM leo 05 Februari 2025 uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma ambao ulikuwa umejaa huku watu wakivalia nguo za kijani na hivyo Dodoma kuwa ya kijani
Hakika sherehe zilifana sana ikichangiwa na msafara mkubwa WA zaidi ya bodaboda 100 za kijani huku wakipepea bendera za CCM ikifuatiwa na magari ya kijani aina ya land cruiser ( mashangingi) na mabasi ya kijani yaliyoandikwa "Kazi iendelee"
🔰Umoja Wetu , Nguvu Yetu
0 Comments