Na Omary Mbaraka
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Tabora Comred PAUL CHACHA amesema uteuzi wa Mhe Rais Dkt Samia Hassan Suluhu kwa Nchimbi kuwa mgombea mwenza 2025 - 2030 ni karata bora na ya ushindi wa kishindo.
Mhe CHACHA amesema anamfahamu vizuri sana Dkt Balozi Emmanuel John
Nchimbi tena kwa muda sasa.
Dkt Balozi Emmanuel John Nchimbi ni moja ya watu wachache nchini wenye misimamo na uwezo mkubwa huku malezi na makuzi yao yakibebwa na CCM kwa maisha yake.
Chama cha Mapinduzi ( CCM ) kupitia mkutano mkuu wa tarehe 18/19/2025 mwaka huu mambo mengi na dira ya nchi yamesemwa kwa wana ccm na watanzania wote.
Mhe Chacha Matiko amesema kuwa Rais wa nchi Dkt Samia Hassan Suluhu kapata mtu sahihi wa kumshauri na kumsaidia ktk majukumu makubwa ya taifa hili.
Mhe chacha ni mmoja ya Wakuu wa mikoa wachache wenye malezi na maadili ya Chama Cha Mapinduzi muda wote.
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Tabora Comred PAUL CHACHA ni mtu anayependa ukweli na Haki kwa watu wote waliopo eneo lake la kazi.
KING BASHITE. MWANANZENGO
0 Comments